Friday 20 September 2013

Jay Sean awafungukia followers wake wa instagram na kuwatusi

Jamaa anayetumia jina sawa na mwanamuziki maarufu wa nchini marekani, Jay Sean ameamua kuwafungukia followers wake wa instagram kwa kumfikiria kuwa yeye ndiye Jay Sean yule mwanamuziki maarufu. Jamaa huyo mwenye asili ya kiasia ameandika status hiyo kupitia account yake ya instagram na kuwatukana wale wooote wanaodhani kuwa ni real Jay Sean.

No comments: