Monday 12 August 2013

Queen Latiffa azihirisha kuwa yeye ni msagaji

Baada ya kuwa na tetesi za kuwa uenda mwanadada huyo wa Kimarekani, Queen Latiffa akawa anajihusisha na vitendo vya usagaji kwa muda mrefu sasa.
Leo kupitia mtandao unaotoa taarifa za kina za watu maarufu nchi humo (B-GOSSIP) Umenasa picha za nyota huyo akidendeka na mmoja wa wanadada ambaye hakuweza julikana..

Hata ivyo nyota huyo amekuwa akikana kashfa hiyo mara nyingi hasa pale anapokuwa akifanya mahojiano na baadhi ya vyombo vya habari na kwenye baadhi ya vipindi vya vya TV (TV-SHOWS).

No comments: