
MYX FUSIONS PARTY, ni party la kibaba alilokuwa ana'host mwanadada Nick Minaj kwenye club ya kibaba pia, Supperclub (Hollywood Boulevard Los Angeles, CA)....Party hiyo ilihusu kukizindua kinywaji aina ya Moscato chenye radha ya matunda na kukipa promo...
Na hizi ni baadhi ya picha za matukio akiwa anakinukisha akiwa na fans na friends zake kama Keyshia Cole, Tyga na The Game kwenye club hiyo...

Minaj na Keyshia Cole

Alongside Tyga & The Game


with Tyga





Minaj Akisepa baada ya kumaliza kufanya yake
No comments:
Post a Comment