Monday 12 August 2013

Kumbe Jackie Chan hakulipwa kwenye Enter the Dragon ya Bluce!

Kumbe tabia ya kuchezeshana movie bure sio tu hapa bongo hata kwa wenzetu hii tabia ipo tena hususani kwa wale wachezaji ambao ni wachanga (hawana majina).
Hivi una habari mtu mzima Jackie Chan hakulipwa kwenye movie ya "Enter the Dragon" na mtu mzima Bruce Lee ambaye kwa sasa ni marehemu?? Yasemekani kuwa Jackie kipindi hicho alikuwa bado mchezaji mdogo (hana jina) hivyo alicheze filamu hiyo pasipo malipo.

Hiki ndicho alichoandika Jackie kwenye wall yake leo hii

No comments: