Saturday 3 August 2013

Bow Wow amla denda Tyra Banks

Mkali wa Hip Hop kutoka katika kundi la CMB linalomilikiwa na mtu mzima Bird Man, Lil Bow Wow ambaye kwa sasa anatumia Bow Wizle...ameonekana kumla denda mwanamitindo na pia mwanamuziki wa kitambo kidogo, Tyra Banks katika moja ya interview ya BET 106 Park Music Video Show aliyoalikwa mtu mzima huyo pindi mwanadada huyo ana'host hicho kipindi...

Kwa tunaomjua Bow wow sio kawaida yake kufanya vitendo kama hivyo hadharani, ila kwa issue ya kudate na watu wazima (waliomzidi umri) hilo ni kawaida yake kwani alishatoka na Ciara kabla mwanadada huyo kuwa demu wa mwanamuziki 50 Cent.

No comments: