Tuesday 30 April 2013

Baba mzazi wa Chriss Brown: "Sifurahii mapenzi yao"

Baba mzazi wa Chriss Brown, amesema hafurahii kabisa kuona mapenzi ya Rihana na Chriss. Baada ya wawili hao Chriss Brown na Rihana kurudisha mioyo yao pamoja na kuzidi kuimarisha penzi lao lililopotea kwa takribani ya miaka minne kutokana na kupigana chini kwa wapenzi hao mnamo mwaka 2009, baba mzazi wa Chriss Brown amefunguka kupitia baadhi ya vyombo vya habari vya nchini Marekani kuwa yeye binafsi hafurahi kuona mwanae anakuwa na mwanamke huyo (Rihana), amesema kwa anavyomfaham mtoto wake kitabia hawezi kuendana na Rihana kutokana na tabia zake.b Pia amesema hana uhakika kama ni kweli mapenzi ya Rihana ni ya dhati kwa kijana wake.


CHANZO: E-NEWS EATV


No comments: