Tuesday 5 March 2013

nilizokutananazo kitaa

 Mtoto wa mfanyabiashara amefungwa kamba na mama yake baada ya kuwa akimsumbua, maeneo ya Jamatini Morogoro
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakijizuia na jua baada ya jua kuwa kali sana kwenye kituo cha daladala

No comments: