Tuesday, 26 March 2013

alicho'post Wema kuhusu alichotoa

Hii ni baada ya kitendo alichokifanya mwanadada huyu kwenye mahakama ya akimu mkazi  - Kisutu, jijini Dar es salaam juzi kwa kuweza kumtoa msanii mwenzie "Kajala Masanja" aliyekuwa akikabiliwa na kesi iliyomlazimu kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au faini ya shilingi millioni 13 za kitanzania. Ndipo mwanadada huyu kujitolea kutoa kiasi hicho cha pesa kwenye account yake na kuweza kumuokoa Kajala dhidi ya hukumu hiyo.

No comments:

Post a Comment