Tuesday, 26 March 2013

aliyeibiwa "Bonge la Bwana" na Sheta afunguka


Baada ya mazungumzo na blog hii jamaa alifunguka kuhusu kuibiwa nyimbo ya "BONGE LA BWANA" na Shetta amedai ni nyimbo yake kabisa alikuwa na idea ya kuifanya tangia mwaka juzi ila hakuweza kurecord kutokana na hali ya kipato.

No comments:

Post a Comment