Thursday 21 February 2013

barabara ya old-bagamoyo yapewa jina la mwai kibaki


Barabara ya Old Bagamoyo ambayo kuanzia Leo itaitwa Barabara ya Mwai Kibaki kwa heshima aliyotunukiwa kiongozi huyo wa Kenya na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kufuatia ziara yake ya kitaifa ya siku mbili itayoanza leo jijini Dar es salaam.

No comments: