Sunday 10 February 2013

babu wa loliondo aiongopea jamii

 Dawa zikiwa tayari kwa kupewa wagonjwa
 Dawa ikichemshwa
 Babu akitoa tiba
 Folen za magari kwenda kwa babu
 Baadhi ya wagonjwa wakisubiria matibabu
Mchungaji Ambilikile almaharufu kama Babu wa Loliondo aliyewika kwa utoaji tiba kwa magonjwa yaliyokuwa yakiisumbua jamii kwa kukosa dawa mfano HIV, TBs,vidonda vya tumbo,kisukari na magonjwa sugu yaliyokosa dawa kwa baadhi ya hospital na vituo vya afya.
Tarehe 6/02 kupitia kipindi cha amplifaya kinachoruka hewani kupitia clouds redio na mtangazaji Mirad Ayo, babu alifanya'interview na Mirald na kufunguka kuwa alikuwa akitibu zaidi ya wagonjwa 17,000 kwa siku ila cha ajabu ambacho twaweza sema ni kuipotosha jamii et hawezi sema amepata pesa kiasi gani mbali na kumiliki gari tatu zenye gharama ya milioni 120 ikiwemo Landcruiser Mkonga, Fuso moja na Loli. Alichosema babu ni kwamba pesa aliyopata ameitumia/anaitumia kuwalipa wafanyakazi wake, kununulia vyombo vya tiba. Hivyo basi kwa gharama hizo si dhani kama pesa ambazo ni zaidi ya mamilioni zitakuwa zimetumika kwa muda huo wa miaka miwili zitakuwa zimetumika na kubaki kiasi kidogo.
Cha kushangaza zaidi babu hakutaka kusema kiasi alichokuwa akiingiza na alichonacho kwa sasa, hivyo basi kwa maoni ya wadau ni kwann babu kama mchungaji asiwe muwazi kwa wanajamii na kama anafanya siri ili iweje??

3 comments:

Anonymous said...

I thinκ thе aԁmіn οf this site is really wοrking hard for hіѕ web site, sincе here
every mаterial is qualіty bаѕed stuff.


Also νіsit my web рage: please click the following page
Also see my website - videos von youtube downloaden

Anonymous said...

Үоur curгent write-uр has
confiгmеd beneficіal to us. It’s quite useful and you rеаlly aге οbviouslу quitе educated
in this region. Yοu hаve got opened our eуes to be ablе to various
opinion of this particular subject usіng intriguing, notable
and strong content material.
Look into my webpage ... buy ativan

Anonymous said...

The repοrt fеaturеs verified neсeѕѕаry to myѕelf.
It’ѕ νeгy eduсational and you're clearly really knowledgeable in this area. You have got opened up my personal sight to be able to different views on this subject matter along with interesting and sound content.
Also visit my homepage ... Xanax