Wednesday 12 December 2012

12/12/2012 imekuja na maajabu ya dunia

Jina lake kamili ni Michael Gerard Tyson almaarufu kama Mike Tyson, alizaliwa June 30, 1966 (umri 46) huko Brookln, New York Marecan. Ni mstaafu wa ngumi za uzito wa juu (heavyweight boxing), na ndio boxer/bondia wa kwanza kushikilia na kukaa kileleni kwenye mashindano hayo ya uzito wa juu (heavyweight champion boxer of the world). Pia Tyson ndio bondia wa kwanza mwenye umri mdogo kuweka record ya kushinda WBC (World Boxing Champion), WBA na IBF uzito wa juu akiwa na umri wa miaka 20, miezi 4 na siku 22. Miaka ya hivi karibuni Tyson alislim na kuwa muislam na kupewa jina la Malick Abdul Aziz.
Leo tarehe 12/12/2012 imekuja na habari za kuishangaza dunia baada ya bondia huyo kuamua kuwa mwanamke, na kuamua kubadili maumbile yake na kuwa ya kike. Amesema "wengi wataona ni maajabu mimi kuwa mwanamke ila ni moja ya matakwa yangu na ninaiman ipo siku nitaota maziwa na nitakuwa na bikira" amesema Tyson ambaye kwasasa anajiita MICHELLE..Pia amesema lengo la kuamua hivyo ni kutaka kuwarekebisha wa America fikra zao za kumuita BAD-BOY.
(source: http://www.thestandard.co.zw)
Hata hivyo sisi wenyewe hatuamin jambo hili japo source za vyombo vingi vya habari vimesambaza jambo hili.

No comments: