
Ben Pol

AT

Recho kutoka THT

Mwana FA akikamua vilivyo

Wema Sepetu nae alionesha mbwembwe zake kwenye jukwaa la serengeti fiesta Moro

Palikuwa hapatoshi Morogoro Serengeti Fiesta katika Viwanja vya Jamhuri
kwa nyomi la watu waliohudhulia
kwa nyomi la watu waliohudhulia

Alini Nipishe akiimba na shabiki wake katika jukwaa la Serengeti Fiesta


Ommy Dimpozz

Mpoki kutoka Original comedy sambamba na JB wakiwa anampongeza comedi zao


Dyana akitoa burundani

Msanii wa Bongo movie(Ray) akionyesha mambo yake katika jukwaa la serengeti fiesta mkoani Morogoro katika viwanja vya jamhuri.

Supa nyota kutoka Moro-Town, Jo Maker akikamua vilivyo

SOURCE:Dj Fetty Blog
No comments:
Post a Comment