Monday 17 September 2012

yaliyojili kwenye serengeti fiesta-2012@morogoro


Ben Pol
AT
Recho kutoka THT
Mwana FA akikamua vilivyo
Wema Sepetu nae alionesha mbwembwe zake kwenye jukwaa la serengeti fiesta Moro
 Palikuwa hapatoshi Morogoro Serengeti Fiesta katika Viwanja vya Jamhuri
 kwa nyomi la watu waliohudhulia
Alini Nipishe akiimba na shabiki wake katika jukwaa la Serengeti Fiesta
 Ommy Dimpozz
Mpoki kutoka Original comedy sambamba na   JB wakiwa anampongeza comedi zao
                                                                   Rich Mavoco
Dyana akitoa burundani
Msanii wa Bongo movie(Ray) akionyesha mambo yake katika jukwaa la serengeti fiesta mkoani Morogoro katika viwanja vya jamhuri.
 
Supa nyota kutoka Moro-Town, Jo Maker akikamua vilivyo
SOURCE:Dj Fetty Blog

No comments: