Monday, 10 September 2012

uzinduzi wa video ya baadae@new maisha club

Usiku wa jumapili msanii anayeshikilia tuzo mbili za Kilimanjaro Ommy Dimpozi alikuwa akizindua video yake mpya inayokwenda kwa jina la BAADAE ambayo location zake zilichukuliwa Joz South Africa na video kuzinduliwa Bongo ndani ya New Maisha Club
  Dada alipandisha mizuka na kuamua kumwaga radhi kabisa, kwa kweli kimaadili si jambo zuri kwa dada zetu kutuonesha maumbile yao...so kwa ushauri muwe makini kinadada
SOURCE: DJ CHOKA BLOG

No comments:

Post a Comment