Monday, 10 September 2012

gift from the south sketch

Wale wakali wa kuchora katuni kwa sketch za kisasa, "SOUTH SKETCH" wamenitumia zawadi as ambassador of that page, kutoka kwa C.E.O wa South Sketch   Mr. Albert Mwakajila ameona mchango wangu mkubwa katika kuitangaza page hiyo na kunizawadia sketch ya picha yangu....
Nimeipenda kwa kweli na nimefurahishwa na kazi zao na pia wameonesha mchango mkubwa sana katika blog hii kupitia page ya CARTOON iliyo juu hapo, kwa kusketch katuni na kufanya wadau mzisome/mzione na kuvutiwa kwa ujumbe au kucheka.
soo kwa kuchek katuni walizochora kutoka katika page hii CLICK HAPA au nenda kwenye page ya CARTOONS hapo juu ka kuchek katuni mbalimbali kutoka kwenye page yao ya South Sketch CLICK HAPA

No comments:

Post a Comment