Sunday, 9 September 2012

maajabu ya m/mungu

Kwa kawaida tumezoea kuona na kushangaa miujiza aitandayo mwenyezi mungu kwa kuumba vitu mbalimbali ambavyo vinatufanya binadamu tulio wengi kustaajabu kwa uumbaji wake, mfano: uumbaji wa wanyama ambao hawana viungo vya kuwafanya watafute kama ndege, na baadhi ya wanyama ambao hawawezi kulima,kupanda,kuendesha wala kufanya shughuli yoyote ile ambayo inafanywa na binadamu wa kawaida (aliye na viungo vyote kama miguu,mikono na akili+uelewa). Kwa mtazamo wa haraka haraka tu, ukiwatazama wale binadamu wanaoumbwa vilema wasio na viungo unaweza jiuliza maswali yaliyomengi kana kwamba ukakosa jibu kwamba wanawezaji kukabiliana na hali ya maisha kama wewe uliyekamilika unapata wakati mgumu kushindana na hali ya maisha katika utafutaji....
sasa leo tutazame maajabu ya uumbaji wa mungu kwa vile viumbe vilivyoungana maumbile ikiwa ni moja ya ulemavu.
 Hawa ni mapacha wanaoishi Tanzania
 Hawa ni mapacha wanaoishi India
Hivyo baasi kwa kuamini kwamba mungu ni mtenda maajabu, ebu check na hii picha ya hawa nyoka ambao wameungana kama hawa binadamu wa picha za hapo juu.
Nyoka walioungana mwili

No comments:

Post a Comment