HOME
POLITICS
COMEDY
CARTOONS
VIDEOS
OUR TSHIRTS
POETRY
GALLERY
Monday, 6 August 2012
thanks for your birthday wishes
07 august
as a C.E.O of KIBONGOBONGO BLOGSPOT napenda kuwashukuru wadau na marafiki wote kupitia account zangu zote za facebook,twitter na kwa kupitia simu yangu ya mkononi, na Emails mlioweza kuniwish happy birthday kwa siku yangu hii ya kuzaliwa kwangu. Pia nawashukuru wazazi wangu baba na mama kwa kunizaa na kunilea hadi leo hii naitwa BLOGER as the owner of this blog na kuwaletea kile mnachokitazama kupitia blog hii. Sina mengi zaidi ya kuwatakia kila la kheri katika muongozo wenu wa maisha. Aimen!!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment