
Habari njema kutoka CheusiDawa Intertainment
iliyochini ya Rapa Fid Q kuwa kipindi kilichokuwa
kinarushwa kupitia youtube na blog ya CheusiDawa
sasa kitakuwa live on East Africa TV after 2 weeks

Hii ndio nembo (logo) iliyokuwa inatumika
nadhani itatumika tena kwenye EATV

Fid aki'interview na Kala Pina wa Kikosi

Fid aki'interview na Langa a.k.a rais wa mateja

Fid aki'interview na Nikki Mbishi

Fid aki'interview na One Incledible

Fid aki'interview na Stereo
No comments:
Post a Comment