
Jumapili ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa msanii kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala jijini Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza nchini kufanya hivyo. Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One akielekea kwenye Helikopta tayari kwa safari

akisindikizwa na Rubani wake kuelekea kwenye helikopta

akitoa 'saluti; kabla ya ndege kupaa kuelekea
kiwanja cha Dar Live, Mbagala

Diamond akisali kumuomba Mungu amfikishe salama

Helikopta ikiwa mita chache kutua, Diamond alisalimia
mashabiki akiwa angani kwa kutumia 'Wireless Mic'

Uwanja wa Taifa wa Burudani Dar Live kwa juu

Platinum akitua katika uwanja wa Dar Live!

mashabiki wakionekana kupagawa kumuona Diamond

Diamond akiagana na rubani

Helikopta ikiondoka...


Diamond akiwa ndani ya Mercedes Benz baada ya kutua

Diamond akishuka kutoka kwenye gari tayari kwa shoo

Diamond ndani ya US Marine.

ilikuwa ni shoo iliyovunja rekodi ya idadi ya mashabiki
ukilinganisha na shoo zilizowahi fanyika Dar Live

Diamond na dancers wake kazini..


Diamond akiwa na mzuka!

...hii ndivyo ilivyokuwa Dar Live!

dancers wa Diamond wakifanya vitu vyao

licha ya mvua kunyesha, mashabiki hawakukubali
kuondoka bila kumuona Diamond!
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA G5 CLICK
No comments:
Post a Comment