Monday 2 April 2012

TUNDAMAN APEWA ZAWADI YA BENZI NA SHABIKI WAKE UK

Msanii Tunda Man wa TIPTOP CONNECTION 
ameanza 2012 vizuri baada ya nyota yake ya
 bahati imezidi kung’aa kwa kuzawadiwa na 
shabiki wake Mercedes Benz huko Uk
Tunda amesema “ nina magari mawili GX 100 
na sasa nina Benz, nilivyokua UK kwenye show 
yangu ya mwisho alikuja shabiki mmoja na 
kuniambia kama naweza kulivusha 
mpaka bongo hilo gari nilichukue tu, 
sijamlipa chochote yani gharama ni za 
kusafirisha tu, jamaa ananikubali sana 
hata kwenye gari alikua anasikiliza 
sana ngoma zangu, sijui thamani ikoje
 lakini mafuta hayatumiki sana nikiweka 
wese la elfu 20 natembelea poa kabisa siku
 nzima ila likinizidi huwa nachukua GX 100″
(Source: millard Ayo website)

No comments: