Tuesday 10 April 2012

MATUKIO MBALIMBALI YA KUHANI MSIBA WA KANUMBA

 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiweka saini 
kwenye kitabu cha Maombolezo
 Mbunge wa Urambo Magharibi,Mh. Athuman Juma Kapuya 
akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya 
Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba
 King Kikii akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo
Iman Madega akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimfariji 
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba
 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Baadhi ya 
Waombolezaji wa Msiba wa Marehemu Steven Kanumba
 Mama Mzazi wa Steven Kanumba.
 Mama Salma Kikwete akizungumza na 
Wasanii wa Bongo Movie jana jion.
Wema na Mzee Magali
Majuto na Chili wakiwasili
Happines Magese akiwasili msibani

No comments: