Saturday 24 March 2012

SABABU ZINAZOIFANYA ELIMU YA BONGO KUPOTEZA MATUMAIN

Usafiri ni wa shida inawawia vigumu kuwahi shule
Mazingira ya kusomea hayaridhishi
Adhabu zinazotolewa si sahii zinapelekea wanafunzi kujenga
mazingira ya uwoga na kutoelewa masomo kwa ufasaha
kwa kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya wanafunzi
na walimu.

No comments: