Thursday 2 February 2012

MITUMBA INAVYOWADHULU KINADADA

Hili ni titi la mwanamke/mwanadada likiwa 
limeduliwa na nguo ya mtumba.
Kwa ushauri wa bure umetolewa na mdau mmoja 
kupitia ukurasa wetu wa facebook bwana 
Davie Donald Jothamson, amesema
"jaman wanawake acheni kuvaa nguo za ndani za mitumba, 
kama utavaa hakikisheni mnafua kwa maji ya moto na sabuni"

No comments: