Hii imenistahajabisha sana baada ya kuona fashion ya viatu vya kamba maarufu kama GLADIATORS vilivyovaliwa miaka takribani 2000 iliyopita tena enzi za YESU..Kihufanisi hivi viatu vilibuniwa na ECTORS wa movie zijulikanazo kama Gladiator ama wale wacheza Farasi" horse players".
.Cha hajabu kwa wakina dada imekuwa fashion kwa sasa na ndio viatu vinavyoshika soko la viatu si Africa wala Europe..
No comments:
Post a Comment