Mwanamuziki wa Hip Hop nchini marekani ameamua kumuenzi 'mwanae' kwa style ya aina yake kwa kuchora Tatoo ya picha ya Nate Dogg ikiwa na ujumbe unaosema 'All Doggs go to heaven'..
Snoop,Eminem,Warren G na Dr Dre ni miongoni mwa wanamuziki waliokuwa karibu na marehem Nate.
Nate Dogg alifariki March 15 mwaka huu kutokana na kufail kwa msukumo wa damu mwilini mwake.
No comments:
Post a Comment