Friday 6 June 2014

Picha:Gari lilivyovamia ukuta wa CRDB Benki Morogoro

Gari aina ya Prado lilikutwa na chanzo chetu likiwa ndani ya Benki ya CRDB iliyopo mkoani Morogoro baada ya kuvamia ukuta wa Benki hiyo na kuharibu ukuta pamoja na kioo cha benki hiyo. Tukio hilo limetokea majira ya mchana June 04.

CHANZO: CHUMA BLOG

No comments:

Post a Comment