Wednesday 18 June 2014

Ajali mbaya ya gari na bodaboda

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii kinadai kuwa tukio hilo limetokea maeneo ya Chalinze mkoa wa Pwani baada ya gari ndogo kugongana na Pikipiki (boda boda) na kuwajeruhi watu watatu waliokuwa kwenye chombo hicho cha usafiri.

Hata hivyo polisi walifika eneo la tukio na kuwachukua majeruhi na kuwapeleka hospitali kuendelea na matibabu.

CHANZO: BaabKubwa Magazine

No comments:

Post a Comment