Baada ya siku kadhaa kupita tangu kupata zali la kuwa verified akaunti ya twitter ya mtu mzima Diamond Platnumz...hatimaye facebook nao waverify akaunti ya Diamon. Kwa sasa account ya Diamond Platmunz kupitia facebook imekuwa verified
nakuwa account yake halali. ukitaka kumpata Platnumz kwa
account zake halali basi angalia ile yenye alama ya tiki yenye rangi ya
blue.
No comments:
Post a Comment