Wednesday, 30 April 2014

Pacha wa Psquare aliwa US$ 5000

Matokeo ya mechi kati ya Chelsea na Atletico Madrid yamesababisha pacha wa Psquare "Peter Okoye" au Peter Square kama anavyojiita kujikuta anamaliza siku vibaya baada ya kuliwa kitita cha Dolari 5,000 za kimarekani ambazo ni sawa na shillingi za kitanzania 8,000,000 baada ya ku'bet na jamaa yake "Phynofino" na kuliwa kutokana na timu aliyokuwa akiishabikia "Chelsea Ze Blues" kuchezea kichapo cha magoli 3-1 na wakali hao Atletico madrid ambao wanatarajia kucheza fainali na Real Madrid.

No comments: