Mwanadada Lupita Amond Nyong'o, usiku wa kuamkia leo (tarehe 3 March) ameshinda tuzo za Oscar 2014 baada ya kuwa amechaguliwa kuwania tuzo hizo katika kipengere cha "The Best Supporting Actress Oscar" katika tuzo za 86 za Academy Awards mwaka 2014 kwa kupitia filamu aliyocheza ya 12 year a slave.
Lupita amabye ni mcheza filamu na pia ni muongozaji wa filamu na video za muziki akiwa ni raia kutoka nchi mbili tofauti (Kenya na Mexico) ameanza kuonekana na kujipatia umaarufu hasa kupitia filamu aliyocheza "12 Years a Slave" akiwa kama Patsey amemshinda mgombea mwenza Jennifer Lawrence aliyeingia na filamu ya "American Hustle".
WASHINDI WENGINE "OSCAR WINNERS-2014"
No comments:
Post a Comment