Leo February 11, ni miaka 24 imepita tangu aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini, marehemu Nelson Mandela
kuachiwa toka katika gereza la Victor Verster alikokuwa akitumikia
kifungo....siku hiyo alikuwa akisindikizwa na mkewe Nomzamo Winifride Zanyiwe
"Winne Mandera".
R.I.P Nelson Mandela
R.I.P Nelson Mandela
No comments:
Post a Comment