Monday 6 January 2014

R.I.P James Avery

Dec 31, Industry ya filamu ulimwenguni imempoteza moja ya waigizaji mashuhuli hususani kwenye filamu za vichekesho, James Avery aliwewahi kucheza kwenye filamu ya "The Fresh Prince of Bel - Air. James Avery alianza kuonekana kwenye TV kama mcheza show (Dancer) mnamo mwaka 1980 kwenye filamu iliyoitwa "The Blues Brothers". Avery amekufa kwa juhudi zilizoshindikana kuokoa maisha yake baada ya kufanyiwa matibabu ya moyo...

James amezaliwa 1945 Pughsvile na kukulia mji wa Atlantic, jamaa aliokolewa kwenye vita vya Wavetnam 1968-1969. Baada tu ya kumaliza elimu yake ya chuo alienda kuishi San Diego, California na kuanza kuwa mwandishi wa vitabu vya Ushairi na kuandika TV scripts.

No comments:

Post a Comment