Monday 6 January 2014

Kardashian na Chyna waanza na makalio

Mwanadada Kim Kardashian ambaye ni Baby mama wa mtu mzima Kanye West ameanza jitihada za kuweza kurudisha mwili wake baada wa kujifungua mtoto na kupungua shape lake. Kim amepost picha akiwa na mwanadada Blac Chyna ambaye ni Baby mama wa Tyga, wakiwa wameonesha shape zao zilizoanza ku'recover. Kwenye post hiyo Kim ameandika "Getting right for the new year".

No comments:

Post a Comment