Tuesday 21 January 2014

Picha:Ajali iliyoua 13 Singida

Ajali hii mbaya imetokea huko Singida ambapo gari aina ya NOAH na Lori la mizigo yamegongana uso kwa uso na kisha gari aina ya NOAH kuingia uvunguni mwa Lori na kusababisha vifo vya watu hao 13 ambao wote walifia katika eneo la ajali.
Dereva na utingo wa Lori wanadaiwa kukimbia baada ya ajali hiyo kutokea.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI

No comments: