Thursday 23 January 2014

Mjengo wa P Square@Atlanta-US

Wakali wa muziki kutoka nchini Nigeria, Peter Okoye na Paul Okoye maarufu kama P-Square...wameonesha moja ya mjengo waliokamilisha kuujenga uliopo Atlanta nchini Marekani. Hii inaonesha ni jinsi gani wamepata mafanikio kupitia kazi ya muziki wanayoifanya, mbali na kupokea Tuzo kibao za Afrika Magharibi kutoka kwenye Awards mbalimbali, pia wameongeza accounts zao kwa kukamata mkwanja mrefu kupitia shows wanazopiga kwenye Tour za nchi mbalimbali.
Wakali hao ambao mmoja alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu mwishoni mwa mwaka jana na kuweza kuwaarika baadhi ya mastaa wa Afrika kama E'to, Davido, Iyanya, Adebayo na wengine wengi.

No comments: