Saturday 7 April 2012

YALIYOJILI KWENYE MSIBA WA THE GREAT

Mapema kabisa mida ya saa kumi na mbili ya asubuhi, 
wakazi wa maeneo mbalimbali wakifurika kwenye msiba 
wa aliyekuwa gwiji wa filamu nchini Steven Kanumba 
aliyefariki dunia afrajiri ya leo.
watu wakistaajabu kilichotokea
 The C.E.O wa BONGO STAR LINK, 
Dj Choka kama kawa kufanukisha hili
Msanii Shilole akilia kwa machungu
Rafiki mkubwa wa marehemu Tito,
 pia ni mwigizaji mwenzie
Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa 
akifanya mahojiano ya TV  
H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehem
Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu 
Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi 
 wanaosimamia msiba huo wakijadili kitu
HABARI KWA HISANI YA DJ CHOKA BLOG

1 comment:

Anonymous said...

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe R.I.P THE GREAT UTAKUMBUKWA DAIMA