Thursday 19 September 2013

Paul Okoye amtaja mkewe mtarajiwa

Wiki mbili zilizopita baada ya pacha mmoja kutoka kundi la P-Square, Peter Okoye kuweza kumtambulisha adharani mkewe mtarajiwa ambaye alikuwa kipenzi chake wa muda mrefu, aitwae Lola Omotayo...pacha mwenzake naye aamua kufuata nyayo za nduguye baada ya kurudi toka kwenye ziara aliyokuwa akiifanya kwenye baadhi ya majimbo nchini Marekani na Canada, Paul Okoye ameamua kufanyahivyo baada ya masaa manne kutua toka ziarani na kumtamburisha rasmi mke mtarajiwa, baby mama wake wakitambo flani bibie Anna Atokwu-Isama. Tukio hilo alilifanya mbele ya mashahidi ambao ni ndugu na baadhi ya marafiki kwenye visiwa vya Victoria.

No comments:

Post a Comment