Thursday 19 September 2013

Jay Sean na mkewe Thara Natalie watarajia kupata mtoto wa kwanza

Mwanamuziki wa kimarekani, Jay Sean na mkewe Thara Natalie wanatarajia kupata mtoto siku za ivi karibuni...hilo limethibitishwa na baba wa mtoto huyo ambaye ni mtarajiwa, Jay Sean kupitia mtandao wa instagram na kuweza kumpa jina la a.k.a (nickname) japokuwa bado hawajajua atakuwa wa jinsia gani. Wapenzi hao wameamua kumpa jina la utani mtoto wao huyo mtarajiwa ambalo ni "Lil Sheeezy au Lil Sheezetle".
Wapenzi hao walianza mahusiano yao tangu mwaka 2010 wameamua kushirikiana na ulimwengu juu ya taarifa hizo ambazo uenda zikaleta furaha zaidi ndani ya mahusiano yao kwa kutarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

No comments:

Post a Comment