Friday 13 September 2013

Kama yako hongera kaka

Leo hii kupitia mtandao wa instagram msanii Barnaba kutoka kwenye lile jumba la vipaji Tanzania (THT), amepost picha za gari aina ya Harrier - Lexus na kuandika "New@classic"...Kwakweli ili ni jambo ambalo limewashangaza marafiki zake wengi walioiona hiyo post na kushindwa kufahamu kuwa jamaa amedaka ndinga mpya au alimaanisha ni moja ya dream cars zake!!

Barnaba amezidi kuwaachia maswali wadau na mashabiki wa muziki wake kwa kile ambacho alishindwa kujibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na wadau hao kama hiyo ndinga ni yake??. Team_Kibongobongo tunasema kama ni yake mzee amepiga hatu Insha Allah Mungu amzidishie, na kama ameamua kuipost tu kutaka sifa basi asife moyo aongeze juhudi katika kazi yake kwani hakuna linaloshindikana.

No comments:

Post a Comment