Sunday 4 August 2013

Sebastian Maganga:"FIESTA itakuwa kwa mikoa 14 tu"

Kwa mwaka huu FIESTA 2013 itafika kwenye miji 14, huu ni mwaka wa 12 tangu tamasha kubwa la Fiesta lianze ambapo kwa mwaka huu mkoa wa Kigoma ndio utafungua pazia la tamasha la FIESTA 2013.
Sebastian Maganga ambaye ni mwenyekiti wa kamati kuu ya FIESTA 2013 hapa akifafanua zaidi..

No comments:

Post a Comment