Sunday 4 August 2013

hii ndio poster ya kwanza kwa chamelion

Hii ndio poster ya kwanza kutokea msanii Jose Chameleon tangu anaanza game yake ya muziki kwenye miaka ya 1990's...na hii ilikuwa mnamo mwaka 1995 ambapo mtu mzima Jose anapiga show na mkali wa enzi hizo, Mollar Mess (kwenye picha wa juu)

No comments:

Post a Comment