
Kwa mwaka huu FIESTA 2013 itafika kwenye miji
14, huu ni mwaka wa 12 tangu tamasha kubwa la Fiesta lianze ambapo kwa
mwaka huu mkoa wa Kigoma ndio utafungua pazia la tamasha la FIESTA
2013.
Sebastian Maganga ambaye ni mwenyekiti wa kamati kuu ya FIESTA 2013
hapa akifafanua zaidi..
No comments:
Post a Comment