Yaani
ni moja ya maajabu ya dunia hii iliyojaa vitu vingi na hata vingine hatuvijui... Napenda
kukujulisha kwamba moja kati ya mambo mapya machoni mwangu ni hili bwawa
la kuogelea ambalo tofauti na mabwawa mengine, hili halina maji bali
lina mvinyo mwekundu yaani ''Red Wine''
Bwawa hilo lipo nchini Japan na wamiliki wa hotel ambayo hii swimming pool ipo walipata idea ya kulijenga kutoka kwa malkia wa Misri enzi za kale Cleopatra ambaye inasemekana alikuwa na Kawaida ya kuoga kwenye mvinyo ili kurutubisha ngozi yake...Mvinyo huo unamwagika toka kwenye chupa unayoiona hapo kwenye picha... Chupa hiyo ina urefu wa mita 3.6.

No comments:
Post a Comment