Sunday 4 August 2013

Picha:Minaj wakishoot video ya"Love More"aliyofanya na Chriss

Hizi ni baadhi ya picha alizopost mwanadada Nick Minaj kwenye ukurasa wake wa Instagram wakati wanashoot video ya wimbo wake mpya aliofanya na Chriss Brown unaoitwa "Love More". Video hiyo walianza kushoot juzi August, 02.
Collabo hiyo ya Nick Minaj na Chriss natumai itakuwa poa kwa sababu wakali hao walishagonga ngoma moja kali sana iliyoitwa "Right by my side" so, kwa vyoyote vile ujio huo utakuwa mkali sana...
Hata minaj pia aliwahakikishia hilo kwa kupost haya kwenye ukurasa huo:

No comments: