Monday 5 August 2013

Kazimoto akutana na Raul huko Qatar

Kiungo wa Taifa Stars na klabu ya Simba Mwinyi Kazimoto akiwa na mkali wa soka wa Real Madrid ya Hispania, Raul Gonzalez huko Qatar alipokuwa ameenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa. Kwa mahojiano na chanzo cha habari hii (Shafii Dauda) Kazimoto amesema kwa kifupi ameomba radhi kwa kutoroka, pia amesema amefanikiwa kupata timu huko alipo.

CHANZO: ShafiiDauda Blog

No comments:

Post a Comment