Tuesday 6 August 2013

Balaa la Platnumz ndani ya South Africa


Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.

Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.

Mafundi wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri


Source:Bongo5

No comments:

Post a Comment