
Kiungo wa Taifa Stars na klabu ya Simba Mwinyi Kazimoto akiwa na mkali
wa soka wa Real Madrid ya Hispania, Raul Gonzalez huko Qatar alipokuwa
ameenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa. Kwa mahojiano na chanzo cha habari hii (Shafii Dauda) Kazimoto amesema kwa kifupi ameomba radhi kwa
kutoroka, pia amesema amefanikiwa kupata timu huko alipo.
CHANZO: ShafiiDauda Blog
No comments:
Post a Comment