Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule
na kikazi pia. Staa huyo ameshoot video ya wimbo wake mpya
ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.

Mafundi wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
Source:Bongo5
No comments:
Post a Comment