Sunday 21 July 2013

Video: Shabiki wa Man U akibisha kwenye group la mashabiki wa Chelsea


Tukio hilo limetokea kwenye uwanja wa Shah Alam Stadium, ambapo shabiki wa Man U akidhihirisha ni jinsi gani anamsimamo na timu yake, kwa kuweza kusimama mbele ya mashabiki wa Chelsea waliokuwa katika kundi kubwa sana. Hii ndio inaitwa simama katika kile unachokiamini hata kama uko peke yako.

No comments:

Post a Comment